Uzi wa vyakula tu

Labda kama sijapita kwenye picha zingine..mpost na magimbi ya kuchemsha, mihogo ya kuchemsha na maji, viazi vitamu nimeona. Mboga ziwepo na choroko, njugu mawe, upupu kwa wana nanjilinji, na kunde wadau. Nashukuru nimeona wadau wa milenda, bamia na nyanya chungu, biringanya kwa wachache. Wengi naona tunamaisha..wakishua hatari. Ni mwendo wa mayai, kuku, samaki...wanafood inspo sio wenzangu.




Am jus kidding guys.
 
 



Mbona tunarusha viazi vitamu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…