Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Labda kama sijapita kwenye picha zingine..mpost na magimbi ya kuchemsha, mihogo ya kuchemsha na maji, viazi vitamu nimeona. Mboga ziwepo na choroko, njugu mawe, upupu kwa wana nanjilinji, na kunde wadau. Nashukuru nimeona wadau wa milenda, bamia na nyanya chungu, biringanya kwa wachache. Wengi naona tunamaisha..wakishua hatari. Ni mwendo wa mayai, kuku, samaki...wanafood inspo sio wenzangu.
Am jus kidding guys.

Njoo ule vibibi ya mcheleNakubali madam
Hujaweka ile nazi ya sukari kwa juu...sijui wanaiitaje? Vitamu hivi sema vinanikinaishaga...Njoo ule vibibi ya mchele
Hapana nilisagia kwenye mchele sukari,yai na hamira na maziwaHujaweka ile nazi ya sukari kwa juu...sijui wanaiitaje? Vitamu hivi sema vinanikinaishaga...
Nahisi hujanisoma. Vikishaiva hivyo kunakuwaga na coating, tuseme iko kama Shira dada. Ila inakua ni ya nazi, iliki na sukari. Unachemsha tui, sukari na iliki ya unga mpk iwe nzito. Afu unamwagia kwa juu kwenye ivyo vibibi. Hatari tupu...Hapana nilisagia kwenye mchele sukari,yai na hamira na maziwa
Nahisi hujanisoma. Vikishaiva hivyo kunakuwaga na coating, tuseme iko kama Shira dada. Ila inakua ni ya nazi, iliki na sukari. Unachemsha tui, sukari na iliki ya unga mpk iwe nzito. Afu unamwagia kwa juu kwenye ivyo vibibi. Hatari tupu...
Mmh.[emoji3064]Wanasema Dinosaur ni Extinct... karibuni wali Dinosaur...View attachment 2482106
Mmh.[emoji3064]Wanasema Dinosaur ni Extinct... karibuni wali Dinosaur...View attachment 2482106