Dinner.
Bamia, mtindi, parachichi, sangara plus mayonaise View attachment 2482698
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Lakin huu ni mchele wa basmat
Huo wa mideko ni wa kawaida sema umekatika
unacheka nin 😂[emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23]uyu ni kwio wa njanuary[emoji493]View attachment 2482077
Sangara na mboga nisiyoipenda
Nakula kaugali kadogo tu sijala siku nyingi ugali na jioni hiiSangara na mboga nisiyoipenda
Unabeba mabox hadi ule ugali usiku?
Mi hayo madude siyapendiNakula kaugali kadogo tu sijala siku nyingi ugali na jioni hii
Yaan hupendi Kabichi ,mi napenda sana kulia kwenye mikate nachanganya mayai na soseji pia kwenye friji yangu hukosi kabichi
Polee weee mi napenda tena hapo nimeacha haijaiva sana tamu mnoooMi hayo madude siyapendi
Bora mchicha mara 10000
Ila Watu [emoji23][emoji23][emoji23]Siku nyingine useme nije kukusaidia!
View attachment 2483887
Dina umetisha sana
Njoo ule vibibi ya mchele