Uzi wa vyakula tu

Uzi wa vyakula tu

IMG_8316.jpg
 
Sangara na mboga nisiyoipenda

Unabeba mabox hadi ule ugali usiku?
Nakula kaugali kadogo tu sijala siku nyingi ugali na jioni hii
Yaan hupendi Kabichi ,mi napenda sana kulia kwenye mikate nachanganya mayai na soseji pia kwenye friji yangu hukosi kabichi
 
Back
Top Bottom