Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unaukanda mpaka ukiunyanyua unabebeka wote kwenye kikandio usinate, kama unakandia kidish mpaka kibaki kisafi kabisa kama kimeoshwa na mkono ubaki msafi hapo ndio unakuwa umelainika.
Usiweke maji mengi sana ukawa laini utasumbua na wala usiwe mgumu sana. Kwa kg 1 mm huwa naweka vikombe viwili vya maji/maziwa ( vikombe vya chai vingi kipimo kinafanana).
Ingredients mikate haina mbwembwe ni maji, mafuta, amira na chumvi tuu. Ila kunogesha kandia maziwa, weka na vanila kidogo unaweza weka yai pia.
Vanilla inaongeza radha na harufu nzuri.
Karibu madam [emoji173][emoji173]Nitakuja unifundishe
Nilitaka kuagiza na ndizi 2 bili ije kwako [emoji16][emoji16]Aje kula?[emoji23]
Nipe mkuu,Nikupe tenda?
Karibu madam [emoji173][emoji173]
Jamani natafuta supplier wa mandazi mikate na kekiView attachment 2489047
Nimefanya ulivyonielekeza yametoka vizuri sana nimekandia maziwa nimeweka na hiriki na tangawizi kesho nitapika mkate ila kukanda kazi inabidi kununua ile mashine ya kukandia
Una chekechea?View attachment 2489047
Nimefanya ulivyonielekeza yametoka vizuri sana nimekandia maziwa nimeweka na hiriki na tangawizi kesho nitapika mkate ila kukanda kazi inabidi kununua ile mashine ya kukandia