Bibi yangu alikuwa akipika hivii rost limejaa mafuta duuu nilikuwa napata tabu kula
Alikuwa anajua sana kupika ila mafuta mpaka tunayamimina kwenye kikombe 🙆🏼♂️🙆🏼♂️Futa la kutosha ndio ilikuwa sifa ya mapishi kijijini
Upo mbali sanaJamani natafuta supplier wa mandazi mikate na keki
Unajua sijakuelewa umemaanin kusema nna chekechea ?watoto wengi? Mbona ni nusu tu jamaniUna chekechea?
Hiyo nyekundu ni beatroot?
Wala hujakoseaHiyo nyekundu ni beatroot?
Safii ni nzuri sana imechemshwa tu ?auWala hujakosea
Ndio, imechemshwa tuSafii ni nzuri sana imechemshwa tu ?au
Sawa huwa nakunywa kwenye juice tu nachanganya kuna mtu aliwah niambia unaweza chemsha pia kama viazi ukalaNdio, imechemshwa tu
Ni kweli, sema hapo kwenye juisi mimi pamenishinda.Sawa huwa nakunywa kwenye juice tu nachanganya kuna mtu aliwah niambia unaweza chemsha pia kama viazi ukala
Hauchanganyi na matunda mengine?Ni kweli, sema hapo kwenye juisi mimi pamenishinda.
Nikinywa juisi ya Beetroot kinachoniudhi kila ukienda haja ndogo, haja ndongo inatoka rangi ya Beetroot
Sikuwahi kuchanganya na matunda ya aina yoyote ile.Hauchanganyi na matunda mengine?
Changanya na ndimu au limaoSikuwahi kuchanganya na matunda ya aina yoyote ile.
Beetroot na Carot nimejaribu mara kadhaa nayo imenishinda pia
Bwana/bibi harufu una ubaya...mwaka huu nimepanga kujifunza kupika, utanisaidia??Sikuwahi kuchanganya na matunda ya aina yoyote ile.
Beetroot na Carot nimejaribu mara kadhaa nayo imenishinda pia
Itabidi nijaribu tena kwa moja ya mchanganyiko ulionitajia.Changanya na ndimu au limao
nanasi,parachich embe
Juice ya miwa pia
Hakuna tatizoBwana/bibi harufu una ubaya...mwaka huu nimepanga kujifunza kupika, utanisaidia??