Forest Hill
JF-Expert Member
- Mar 4, 2018
- 2,873
- 6,821
Asante mwalimu mwezi wa tatu mungu akituweka nataka niwasuprise watu na masapta saptaHakuna tatizo
Inaongeza damu pia harakaItabidi nijaribu tena kwa moja ya mchanganyiko ulionitajia.
Ahsante
Maandazi mengi afu yanaonekana magumuUnajua sijakuelewa umemaanin kusema nna chekechea ?watoto wengi? Mbona ni nusu tu jamani
Sio magumu malain sema nimekata tudogoMaandazi mengi afu yanaonekana magumu
Maandazi uliweka baking powder?? Inasaidia yanachambuka na kuwa malaini sana. Iriki kweli inatia radha nzuri. Kesho na mimi nitapika maandazi nitaleta mrejesho.View attachment 2489047
Nimefanya ulivyonielekeza yametoka vizuri sana nimekandia maziwa nimeweka na hiriki na tangawizi kesho nitapika mkate ila kukanda kazi inabidi kununua ile mashine ya kukandia
Mbezi mwisho mkuu, bites zote kasoro keki.Location?
Niliweka eee malain sema mi sipendi yenye nyama ndani nyingiMaandazi uliweka baking powder?? Inasaidia yanachambuka na kuwa malaini sana. Iriki kweli inatia radha nzuri. Kesho na mimi nitapika maandazi nitaleta mrejesho.View attachment 2490281View attachment 2490282
Kiafya zaidi KiongoziMkuu hii featuring sijaielewa
Kiongozi, hizi sio hafukeki?Maandazi uliweka baking powder?? Inasaidia yanachambuka na kuwa malaini sana. Iriki kweli inatia radha nzuri. Kesho na mimi nitapika maandazi nitaleta mrejesho.View attachment 2490281View attachment 2490282