Uzi wa vyakula tu

Uzi wa vyakula tu

322701306_736878087868084_7607478838743927847_n.jpg
Mkuu hii featuring sijaielewa
 
View attachment 2489047
Nimefanya ulivyonielekeza yametoka vizuri sana nimekandia maziwa nimeweka na hiriki na tangawizi kesho nitapika mkate ila kukanda kazi inabidi kununua ile mashine ya kukandia
Maandazi uliweka baking powder?? Inasaidia yanachambuka na kuwa malaini sana. Iriki kweli inatia radha nzuri. Kesho na mimi nitapika maandazi nitaleta mrejesho.
Image_20230120-171401_Gallery.jpg
Image_20230120-171414_Gallery.jpg
 
Back
Top Bottom