Duh [emoji39][emoji39][emoji39]Ongea na watu vizuri, huu msosi ni afu tatu tu. Si mnaziona hizo hapo? [emoji28]
View attachment 2512649
Umeishakuwa fundi. Ipo vizuri
Bado kupamba sasaUmeishakuwa fundi. Ipo vizuri
[emoji39][emoji39]Ndo zimetoka jikoni mda huu hapo bado ka Chai ka maziwa kenye tangawizi na karafuuu na source yake ya pilipili mwendokasi na Nazi.View attachment 2514361
Ukifanya mazoezi ya kupamba mara kwa mara mbona utakuwa sawaBado kupamba sasa
Mkono mzito sana