Uzi wa vyakula tu

Uzi wa vyakula tu

Mambo ya vyuku mie ndio napendaa. Nikaribishe basi mlonwa usiku
Karibu ukuje nakula sasa wewe si utaamka usiku ule tena ukila mida hii
 

Attachments

  • 89907D13-7EEA-4A21-A691-039EA9B10D16.jpeg
    89907D13-7EEA-4A21-A691-039EA9B10D16.jpeg
    691.4 KB · Views: 17
Zege la kiume limetengenezwa jana usiku..hii siyo ile chipsi yai ya kisharo.
Apo kuna yai Tatu, maziwa, unga ngano na zaga zingine kaa kitunguu, hoho, saumu..

Ukimaliza hii babu huamki.
 

Attachments

  • 1301985B-403F-418B-B6FC-B89C9D5AC914.jpeg
    1301985B-403F-418B-B6FC-B89C9D5AC914.jpeg
    542.6 KB · Views: 14
Margarine 1/2kg
Unga 1/2kg
Mayai 8-10 inategemea na ukubwa wa mayai
Sukari 1/2kg ila napunguza kama kijiko kimoja
Baking powder 2 vijiko vya chai
Maziwa kidogo (kama vijiko 1-3) ya supu kuifanya keki isiwe kavu
Vanilla kijiko 1 cha chai(kidogo).

Kwa kilo moja nafanya x2 yake, na wakati wa kuweka unga uwa siupigi sana kama mwanzo

Kama hupendi sukari nyingi unaweza punguza
Na kwenye oven unaweka moto ngapi kwa dakika ngapi?
 
Back
Top Bottom