Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mmh.. Hii shibe hii
😂😂😂Pilau bubu, ndizi Kiziwi
Na unayapenda haswaView attachment 2516313
Hivi maisha bila wali&maharage yangekuwaje!?!
When i was a kid... nilikuwa napenda hii kitu! 😍Vitumbua + maharage View attachment 2516031
Na unayapenda haswa
Mi nakula kidogo maana tumbo hujaa kweli
When i was a kid... nilikuwa napenda hii kitu! [emoji7]
[emoji39][emoji39]View attachment 2516505chips+mishkaki+mayonaiz
Hapo ni sawa na wali ndondo tu! [emoji39][emoji39][emoji39]Vitumbua + maharage View attachment 2516031
Taka weyi hii
Humaaanishi, ushawai kukutana na maharage break fast,lunch, dinner? Mnabadili style za kupika tu ila ni maharageA niseme ukweli tu aisee napenda maharage pika nyama wiki tu nimekinai maharage hata mwaka sawa we pika tu.