Dejane
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 50,587
- 71,492
Karibu ukuje nakula sasa wewe si utaamka usiku ule tena ukila mida hiiMambo ya vyuku mie ndio napendaa. Nikaribishe basi mlonwa usiku
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Karibu ukuje nakula sasa wewe si utaamka usiku ule tena ukila mida hiiMambo ya vyuku mie ndio napendaa. Nikaribishe basi mlonwa usiku
Hii mie ndio mida yangu ya kula kabla ya saa mbili usikuKaribu ukuje nakula sasa wewe si utaamka usiku ule tena ukila mida hii
Haya karibu sasa uje upigwe na magumiHii mie ndio mida yangu ya kula kabla ya saa mbili usiku
Ngumi na nani tena wakati umenialika mwenyeweHaya karibu sasa uje upigwe na magumi
Eee nitaeleza we nani 😂Ngumi na nani tena wakati umenialika mwenyewe
Unamwambia huyu ni mzabzab amekuja msaidiane kuniridhisha.Eee nitaeleza we nani 😂
HuhuuuuUnamwambia huyu ni mzabzab amekuja msaidiane kuniridhisha.
Margarine 1/2kg
Unga 1/2kg
Mayai 8-10 inategemea na ukubwa wa mayai
Sukari 1/2kg ila napunguza kama kijiko kimoja
Baking powder 2 vijiko vya chai
Maziwa kidogo (kama vijiko 1-3) ya supu kuifanya keki isiwe kavu
Vanilla kijiko 1 cha chai(kidogo).
Kwa kilo moja nafanya x2 yake, na wakati wa kuweka unga uwa siupigi sana kama mwanzo
Weka 150 chini 30minutesKama hupendi sukari nyingi unaweza punguza
Na kwenye oven unaweka moto ngapi kwa dakika ngapi?
Udaktari wako wa heshima hatuutambui[emoji4][emoji4][emoji4]Ni kama wa Hamis Taletale tu! [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1493][emoji1493][emoji1493][emoji377][emoji377][emoji377]
Mmh.. Hii shibe hiiVitumbua + maharage View attachment 2516031