Uzi wa vyakula tu

Nayapenda ukichanganya na nyama ya kusaga tamu sanaπŸ˜‹πŸ˜‹

Note: Nyama usage mwenyewe home, sio ya kununua ishasagwa.
Hiyo ilinishinda sijui hua wanachanganya vitu gani ladha inakua mbaya
Huwa wanasaga yale manyama mabaya mabaya. Dawa yao ukifika chagua nyama mwenyewe ndo wakusagie.

Ikiwa na mafuta kidogo au ukipata nundu kabisa utafurahi zaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…