Mboga mboga na minofu ya kuku, chapati yake napenda nene huwa nakanda na hamira kiasi, pia na pre bake hiyo chapati nikiwa nimepa pizza sauce , kabla sijaweka cheese , nyama na mboga mbogaNzuri sana ni ya mboga mboga au umeweka nyama?
Jmos nitapika tena nione naona chapat yake nene sana
Mboga mboga na minofu ya kuku, chapati yake napenda nene huwa nakanda na hamira kiasi, pia na pre bake hiyo chapati nikiwa nimepa pizza sauce , kabla sijaweka cheese , nyama na mboga mboga
Safi sanaView attachment 2549195
Vegetarian kazi wanayo aisee
We used to pray for days like these; when your plate is genuinely full[emoji106][emoji106]
Ww jamaa hilo shuka mbna kma langu ,ngja leo nikaliangalie kabatini.
Hongera sana inavutia hiyo looks yummy, cheese ilikuwa kidogo na pia next time ispread kote mpaka pembeni itakuwa vizuri.View attachment 2547819
View attachment 2547820
Leo nimejaribu kujifunza kupika piza ya soseji na kutengeneza cheese
Kutengeneza cheese nimeweza ila ikawa ndogo jumamos nitapika nyingine cheese iwe nyingi
trudie njoo unipe maujanja
Hongera sana inavutia hiyo looks yummy, cheese ilikuwa kidogo na pia next time ispread kote mpaka pembeni itakuwa vizuri.
Mimi sipendi kabisa cheese siwezi kuila ile niliyopika siku ile haikuwa na cheese but turned out fine.