Manyanza
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 16,464
- 35,629
Menu yangu Pendwa hii 😋😋😋
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Menu yangu Pendwa hii 😋😋😋
Chief tupunguze picha za kudownload kidogo
But cheese ni ingredient mojawapo huwezi kuiepuka kwenye pizza kama unaitumia. Mimi siweki sababu siwezi kuila. Hii hapa without cheeseEee mi napenda cheese [emoji39]
Hebu una picha nione ulotengeneza?
Nitafata ushauri
Tunapenda za uhalisia we hulagi kwako 😂😂😂[emoji848][emoji2827] hazifai?
But cheese ni ingredient mojawapo huwezi kuiepuka kwenye pizza kama unaitumia. Mimi siweki sababu siwezi kuila. Hii hapa without cheeseView attachment 2552202
Chief tupunguze picha za kudownload kidogo
Labda unakosea vipimo au kwenye moto, unatumia oven au mmkaa kupika, pika mara kwa mara utajua unakosea wapi.Nzuri mi napenda cheesee ina ladha nzurii
Trudie umeona mkate nilotengeneza?nimejifunza insta Ila cake nimeshindwa sijui nakosea wapiii 😂😂😂 inakuwa ugali
Labda unakosea vipimo au kwenye moto, unatumia oven au mmkaa kupika, pika mara kwa mara utajua unakosea wapi.
Ulijaribu ile recipe niliyokupa?Nzuri mi napenda cheesee ina ladha nzurii
Trudie umeona mkate nilotengeneza?nimejifunza insta Ila cake nimeshindwa sijui nakosea wapiii [emoji23][emoji23][emoji23] inakuwa ugali
Skonzi rahisi mno follow akaunt zinazobak mikate kuna dada anajiita bakingwithcandy.ng mi Ndio nimejifunzia kwakeUlijaribu ile recipe niliyokupa?
Dunia ilivyo ya ajabu,skonzi sijuagi,
Sijui kwa sababu sijajaribu mara kwa mara.