Uzi wa vyakula tu

But cheese ni ingredient mojawapo huwezi kuiepuka kwenye pizza kama unaitumia. Mimi siweki sababu siwezi kuila. Hii hapa without cheeseView attachment 2552202

Nzuri mi napenda cheesee ina ladha nzurii
Trudie umeona mkate nilotengeneza?nimejifunza insta Ila cake nimeshindwa sijui nakosea wapiii πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ inakuwa ugali
 
Nzuri mi napenda cheesee ina ladha nzurii
Trudie umeona mkate nilotengeneza?nimejifunza insta Ila cake nimeshindwa sijui nakosea wapiii πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ inakuwa ugali
Labda unakosea vipimo au kwenye moto, unatumia oven au mmkaa kupika, pika mara kwa mara utajua unakosea wapi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…