Dejane
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 50,587
- 71,492
Hujasema hapo kwenye kukoroga unaanzaje,kuweka hiyo zest orange na juice orange umerukaaaOkay, mi pia nilijifunza mwenyewe kupitia google mpaka nikaweza
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hujasema hapo kwenye kukoroga unaanzaje,kuweka hiyo zest orange na juice orange umerukaaaOkay, mi pia nilijifunza mwenyewe kupitia google mpaka nikaweza
hii ni ovacado na nini??
Weka butter na icing sugar kwenye bakuli koroga mpaka kiwe kitu kimoja ,kisha weka yai moja moja huku unakoroga ukimaliza utaweka orange zest koroga, utaanza kuweka unga wako kidogo kidogo kwa kutumia chekeche huku ukikoroga in between utakuwa unaweka orange juice kidogo kidogo. Ukimaliza utamimina huo mchanganyiko kwenye chombo cha kupikia ambacho ulikipaka butter na kunyunyuzia unga, ukiweka kwenye chombo usikoroge fanya kama unapiga piga kidogo chini ili ukae level kisha weka kwenye oven.NB kumbuka unga tulishachanganya na baking powder.Hujasema hapo kwenye kukoroga unaanzaje,kuweka hiyo zest orange na juice orange umerukaaa
Sawa asanteWeka butter na icing sugar kwenye bakuli koroga mpaka kiwe kitu kimoja ,kisha weka yai moja moja huku unakoroga ukimaliza utaweka orange zest koroga, utaanza kuweka unga wako kidogo kidogo kwa kutumia chekeche huku ukikoroga in between utakuwa unaweka orange juice kidogo kidogo. Ukimaliza utamimina huo mchanganyiko kwenye chombo cha kupikia ambacho ulikipaka butter na kunyunyuzia unga, ukiweka kwenye chombo usikoroge fanya kama unapiga piga kidogo chini ili ukae level kisha weka kwenye oven.NB kumbuka unga tulishachanganya na baking powder.
WananunuaWamama wanapenda kupikia kuni
,mjin kuni unazipatia wapi? Vijijn sawa
Kabla haujapika jaribu kusoma hapaSawa nitafata vipimo
NzuriJaribu hii unga nusu kg, butter robo kg, mayai 6_8 ya kisasa,baking powder vijiko vidogo 2 level,icing sugar robo kg , orange zest kiasi, orange juice vijiko 10.
Changanya unga na baking powder kisha chekecha,
Washa oven kabisa moto weka 150
Andaa chombo cha kupikia
Koroga cake yako kama inavyotakiwa
Bake sasa cake yako muda dakika 45 , usifungue fungue oven we itazame cake kupitia kioo baada ya dakika 45 fungua uchome na toothpick katikati uone kama imeiva kama bado ongeza dakika uendelee kusubiri iive, ikiiva subiri ipoe ndo ukateView attachment 2552528
Umewaza kama mimi🤣🤣🤣Kaka utaoa kweli 😹
Kabla haujapika jaribu kusoma hapa
Utapata chochote na keki yako itatoka Nzuri
MAKOSA UNAYOFANYA KATIKA UPISHI WA CAKE
CAKE KUWEKA MASHIMO SHIMO KWA NDANI
-Umetumia mayai mengi kuliko yanayotakiwa
-Hukuchanganya vizuri mchanganyiko wako wukawa sawa
KEKI KUJAA MAFUTA
-Umetia siagi nyingi/mafuta mengi kuliko kipimo kinachotakiwa
-Umeyeyusha siagi, unatakiwa uitumie bila kuyeyusha
-Hukufuata vipimo
CAKE INANATA KAMA INAUNYEVU
-Umetumia sukari nyingi
-umetiq mayai mengi
-umetumia unga mbaya tumia unga wa cake.
-umeacha sana kuitoa kwenye tin ikaweka unyevu
-maji mengi au maziwa
KEKI HAIJAUMUKA
-Umetia baking powder kidogo/umeupiga sana mchanganyiko umeua nguvu ya bakingpoda
-Moto ulikuw mdogo
-chombo kilikua kipana sana
- umeacha sana mchanganyiko kabla hujaupika
-hukuchanganya mahitaji kama inavyotakiwa
KEKI IMEWEKA MLIMA/ IMEPASUKA JUU
-Umeupiga sana mchanganyiko wa siagi au mayai
-moto ulikua mwingi
KEKI IMEWEKA SHIMO KATIKATI
-Kufunua funua ukaingiza hewa.
-Moto mdogo
-sukari nyingi au siagi nyingi
-umechanganya sana mchanganyiko wako
KEKI IMEKUA LAINI SABA MPAKA INAMOMONYOKA
-Umetumia sukari nyingi
-umetumiq baking poda nyingi
-umechanganya vibaya
umetumia mafuta/ siagi nyingi
Hadi chapati weee hadi raha ukipata mme anajuakupikaUmewaza kama mimi🤣🤣🤣
Kaka Hadi kupika keki anajua
Hata mim pia
Unaniangushia jumba bovuSawa nimefikisha ujumbe ulioniagiza 😅
Hata mim pia
Sio ww uliesema picha za kudownload hazileti mushikeli..tena nakumbuka ulitumia neno "mushikeli"Unaniangushia jumba bovu
Komaaaa 😂😂
Hawatoi sumu bali kuna uyoga wenye sumu (huu hauliwi) na ambao hauna sumu (unaoliwa)Hivi uyoga watu wanatoaje sumu mpaka wanaula? Kama kuna mtaalam anielekezeView attachment 2552575
Sina taarifa aisee unanisingizia ujueSio ww uliesema picha za kudownload hazileti mushikeli..tena nakumbuka ulitumia neno "mushikeli"
Ndoa ni muhimu kuna mambo nitaitaji usaidizi wa mwanamke.Kaka utaoa kweli 😹
Sasa aya ni maandalizi kwaajiri ya binti zangu maana wanawake wa siku hizi baadhi yao kupika ni dolo sana, sasa ata ikitokea nimeangukia garasa watoto wangu nitaweza kuwaandaa mwenyewe wasije niaibishaUmewaza kama mimi🤣🤣🤣
Kaka Hadi kupika keki anajua