Uzi wa vyakula tu

Uzi wa vyakula tu

759BC9E6-266B-4009-BBA1-BBE9AAAD14E8.jpeg
 
Wewe umewah kula na hauna madhara? maana kuna ka hotel nilipita leo nikakuta kwenye chef's choice ni uyoga na chips bei 25k. Ndio maana nikapost hapa nikiamini watu wanaexperience.
Ndio nimeishi wai kuula ila sio hotelini bali home tu msimu wa mvua mvua huwa zinaota sana mashambani hasa maeneo ya vichuguu au yaliyochoma moto.
 
Sasa aya ni maandalizi kwaajiri ya binti zangu maana wanawake wa siku hizi baadhi yao kupika ni dolo sana, sasa ata ikitokea nimeangukia garasa watoto wangu nitaweza kuwaandaa mwenyewe wasije niaibisha
Khaa aisee😂
Mwanaume unapika kuliko hata dada zako

Mwanzo nilikuwa sijaangalia id Yako,baadaye nikaangalia nikashangaa
 
Back
Top Bottom