Hongera sana…Sasa aya ni maandalizi kwaajiri ya binti zangu maana wanawake wa siku hizi baadhi yao kupika ni dolo sana, sasa ata ikitokea nimeangukia garasa watoto wangu nitaweza kuwaandaa mwenyewe wasije niaibisha
AsanteHongera sana…
Unadokoa vya wenyewe eeh😋😋
😋😋😋 Zinavutia
Wewe umewah kula na hauna madhara? maana kuna ka hotel nilipita leo nikakuta kwenye chef's choice ni uyoga na chips bei 25k. Ndio maana nikapost hapa nikiamini watu wanaexperience.Hawatoi sumu bali kuna uyoga wenye sumu (huu hauliwi) na ambao hauna sumu (unaoliwa)
Ndio nimeishi wai kuula ila sio hotelini bali home tu msimu wa mvua mvua huwa zinaota sana mashambani hasa maeneo ya vichuguu au yaliyochoma moto.Wewe umewah kula na hauna madhara? maana kuna ka hotel nilipita leo nikakuta kwenye chef's choice ni uyoga na chips bei 25k. Ndio maana nikapost hapa nikiamini watu wanaexperience.
Khaa aisee😂Sasa aya ni maandalizi kwaajiri ya binti zangu maana wanawake wa siku hizi baadhi yao kupika ni dolo sana, sasa ata ikitokea nimeangukia garasa watoto wangu nitaweza kuwaandaa mwenyewe wasije niaibisha