Unforgettable
JF-Expert Member
- Aug 1, 2019
- 5,584
- 12,461
maziwa fresh yaliyocheshwa yakakatika ndoyanatengenezewa mtindi?????rudi darasani mkuuUsimdanganye, maziwa ya kutengeneza mtindi lazima yachemshwe kuua wadudu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
maziwa fresh yaliyocheshwa yakakatika ndoyanatengenezewa mtindi?????rudi darasani mkuuUsimdanganye, maziwa ya kutengeneza mtindi lazima yachemshwe kuua wadudu
Mi hayo madude nayapenda sanaMi nikifululiza tumbo linajaa gesi ni matamu kweli ila sasa
Wewe tungematch sanaHuwezi amini
Maharagwe
Dengu
Njugu
Hizi hata zipikwe 3/7/52 nazikula
Maharage, Dengu, Njugu mawe hizi kitu ni tamu na nzuri sana kuliko Nyama.Wewe tungematch sana
Napenda maharage, Yaani nisipokula sijisikii vizuri.
Nina zaidi ya wiki 2 sijakula maharageMaharage, Dengu, Njugu mawe hizi kitu ni tamu na nzuri sana kuliko Nyama.
Mi nakula hizo kitu daily hata jana nimekula Kande la Njugu Mawe
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Kumbe upo na husemiBad day in Dsm View attachment 2559155
HahahaKumbe upo na husemi
Dah!
I missed this!
You're welcome [emoji4]I missed this!
Wakishua unakula dengu chakula yetu machokoraa?Wali dengu… fav after wali maharage ❤️View attachment 2546147
Yani wewe ndio unapika maandazi yenye shape ya diamond? Hivyo si kama visu asee?
Hizi ndio mambo zangu ila samaki usingemkaanga angekuwa mbichi
Wali na mayai ya kuchemsha? Chakula ya wapi hii? Siwezi kula hiki.
Pizza ya dagaa? Sijawahi kula pizza ya aina yoyote huwa naziona tu kama chips mayaiBut cheese ni ingredient mojawapo huwezi kuiepuka kwenye pizza kama unaitumia. Mimi siweki sababu siwezi kuila. Hii hapa without cheeseView attachment 2552202