Uzi wa vyakula tu

Uzi wa vyakula tu

Nyama ni mchemsho nilikatia humo humo karoti,nyanya,kitunguu swaumu na kitunguumaji
Maharage yana kitunguu saumu na tangawizi
Wali niliukaanga
na hvyo ndio nilivyokula leo siku ya sabato
20230408_082411.jpg
 
Back
Top Bottom