Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Drumsticks katika ubora wake
Safi sana boss wanguuu leo haujapakuwa mtandaoni kama unavyofanya siku nyingine [emoji23][emoji23][emoji23]
Naam![emoji1666][emoji91]
Kwaiyo mzee unarudia post au????
Bi mdashi leo tukeshe tu hapa😁
Tulisema zamani tu hatuli wadudu, Mshana mwenye uzi pia aliweka sandwich ya panya uzi unaanza tu tukakamkemea kajirekebisha.bongo mnakula mende
Shafika hapa mami lelo twende sawa😁😋
Ni vyakula boss wanguuu sema picha ya kupakua mtandaoni haivutii machoni tofauti na picha halisiHivi kwani vya mtandaoni sio vyakula ? [emoji23]