Uzi wa vyakula tu

Makange [emoji23]
Anhaa kumbe

Ila nitajie viungo vya kuweka kwenye mboga mfano rosti ya nyama ili kuongeza ladha maana mimi nawekaga kitunguu,nyanya,ndimu basi [emoji28]

Nikiendaga sehemu nyingine nakuta wamepika mboga tamuu nabaki najiuliza wanaweka manini mule

Sent from my SM-A115F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…