Uzi wa vyakula tu

Hivyo vipande vitatu...

Kidogo mbona ni kama wanafunzi watatu watukutu ambao wameambiwa waondoke nje ya darasa wasubiri mwalimu mkuu?
🀣🀣🀣 wanasubiria hasira za mwalimu zikolee vizuri.

Alafu usimtishe Depal bana. Siku mkiwa wageni wangu ntapika kama tuko shereheni.

Kazi ni kwenu!!!πŸ™‚
 
[emoji4]

You can't imagine huwa sisikii njaa asubuhi na ndio maana mara nyingi huwa na-skip breakfast. Siku nikila ni kuanzia saa nne kwenda mbele.
Wewe hupendi kula asubuhi ila mimi sipendi kula usiku naona kama nakula hasara maana nakula then nalala afu asubuhi nikiamka nakua na njaa kinoma[emoji28]

I prefer heavy a breakfast and lunch
 
Wewe hupendi kula asubuhi ila mimi sipendi kula usiku naona kama nakula hasara maana nakula then nalala afu asubuhi nikiamka nakua na njaa kinoma[emoji28]

I prefer heavy a breakfast and lunch
Eti unakula hasara 🀣🀣🀣🀣🀣

Umenikumbusha siku moja tulikuwa tumesafiri mshkaji mmoja akakataa kulala kwenye hotel nzuri kwasababu ya bei. Wakati tunapiga story akatuambia kutoa hiyo hela sio shida, shida ni kwamba atakosa usingizi akeshe akiiwaza, so what's the point.

But if we are being honest, ni afya zaidi unavyofanya wewe.
 
Tunafanana na huyo mwamba [emoji28][emoji28]

Usiku nakula ila a very small portion ...maana nikila sana usiku huwa nikiamka asubuhi nakuwa na njaa sana.... but nikila kidogo usiku...asubuhi naamka kawaida tu sasa sijui hii kitaalamu inaitwaje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…