Marisia
JF-Expert Member
- Aug 18, 2016
- 234
- 344
@Depal hatishiki! Angelikua mhadhari, ogopa sana asijepeana hotuba ya zaidi ya 3hrs kuhusu swala hili zima![emoji1787][emoji1787][emoji1787] wanasubiria hasira za mwalimu zikolee vizuri.
Alafu usimtishe Depal bana. Siku mkiwa wageni wangu ntapika kama tuko shereheni.
Kazi ni kwenu!!![emoji846]
Swali la kwanza atakalouliza...
Sherehe itakua yetu sote au bado utabaki na vipimo vyako vya kawaida?
Utamu wa sherehe ni kufurahia wote. Sio mmoja kajipea mipaka, vikomo na vipimo