@Depal hatishiki! Angelikua mhadhari, ogopa sana asijepeana hotuba ya zaidi ya 3hrs kuhusu swala hili zima![emoji1787][emoji1787][emoji1787] wanasubiria hasira za mwalimu zikolee vizuri.
Alafu usimtishe Depal bana. Siku mkiwa wageni wangu ntapika kama tuko shereheni.
Kazi ni kwenu!!![emoji846]
Breakfast is the most important meal of the day!![emoji4]
You can't imagine huwa sisikii njaa asubuhi na ndio maana mara nyingi huwa na-skip breakfast. Siku nikila ni kuanzia saa nne kwenda mbele.
Jaribu upunguze carbohydrates (starch and sugar) usiku. Ugali, mihogo, viazi nk. Don't overeat. Kunywa maji ya kutosha.Tunafanana na huyo mwamba [emoji28][emoji28]
Usiku nakula ila a very small portion ...maana nikila sana usiku huwa nikiamka asubuhi nakuwa na njaa sana.... but nikila kidogo usiku...asubuhi naamka kawaida tu sasa sijui hii kitaalamu inaitwaje
Tulishakubaliana. Akikosa kumaliza, we upload her picture right here!Na tutakulazimishia ule portion kubwa. [emoji23]
Utajuta kutukaribisha
ππMarisia njoo uniambie Depal kala nini hapa mpaka kale kaugali kangu kasitoshe???π
Nyama zinajitosheleza ila huto tundizi ni sawa na hutu tuchips twangu tu π
View attachment 2600776
Bakuli la π π π«£ππ
Tundizi tumerepleciwa na wingi wa tunyama
Jitetee kwa upande wako?
Nyanya!! Ile si nyanya 1 tu kubwa πBakuli la π π π«£
Shafika mammy ila leo extreme low portionπMarisia njoo uniambie Depal kala nini hapa mpaka kale kaugali kangu kasitoshe???π
Nyama zinajitosheleza ila huto tundizi ni sawa na hutu tuchips twangu tu π
View attachment 2600776
Ngoja Jr arudi nimuulize πNyanya!! Ile si nyanya 1 tu kubwa π
Sahani kama yangu, imebaki moja nyingne ilivunjikaPilau
Nunua zingineSahani kama yangu, imebaki moja nyingne ilivunjika