Uzi wa vyakula tu

Yani nimekipania...🀀🀀

Wali kesho maana gas imenikimbia wakati napika mboga. Nahisi nikiupika kwenye umeme unaweza kuwa uji.πŸ₯΄
Kibua kitamu, shida tumifupa jamani

Pole, kwanini uwe uji? Hapo cha kuzingatia si wingi wa maji tu. Na kama mchele na kipimo ni kile kile utakuwa ushazoea wingi wa maji kuupima na macho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…