Uzi wa vyakula tu

Uzi wa vyakula tu

Marisia & Depal msije mkanisema baadae na nusu chapati yangu 🫣
20230428_165419.jpg
 
Yani nimekipania...🤤🤤

Wali kesho maana gas imenikimbia wakati napika mboga. Nahisi nikiupika kwenye umeme unaweza kuwa uji.🥴
Kibua kitamu, shida tumifupa jamani

Pole, kwanini uwe uji? Hapo cha kuzingatia si wingi wa maji tu. Na kama mchele na kipimo ni kile kile utakuwa ushazoea wingi wa maji kuupima na macho
 
Back
Top Bottom