babukijana
JF-Expert Member
- Jul 21, 2009
- 14,478
- 18,341
Shafika mamkubwa
Jamaa hivi mnawezaje kula hivi?
UNakujaje mwanza na hauripoti kwa wataalamu wa ufundi?Nyegezi Nyamagana barView attachment 2615635
Sare sare maua😍
Kama huna taarifa basi hauko kwenye cabinet[emoji16]
Mambo ya ufyele haya
Tumetisha kweli 🤗🤗🤗🤗Sare sare maua😍
I'm so happy tumemechisha😂
Sawa kesho ntakua maeneo ya nyamaghana sekondariBado nipo Mwanza mpaka Kesho naelekea Shinyanga then Kahama Kisha Geita
Nilitembelea mwaka jana. Nadhani panaitwa Nyegezi/ Nyamagana garden. Wanajitahidi kwa baadhi ya bar hapo nyegezi.Nyegezi Nyamagana barView attachment 2615635
Yaani napata shida sipendi supu na mamichuzi basi tuu.Mambo ya ufyele haya