Swahili AI
JF-Expert Member
- Mar 2, 2016
- 10,174
- 89,364
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi napenda zaidi wa kukaanga au kuchoma. Ila awe wa kienyeji tuuSupu tena ya kuku ilivyo tamu
Ya kuchoma ni tamu,ila pia ya supu ni tamu😋Mimi napenda zaidi wa kukaanga au kuchoma. Ila awe wa kienyeji tuu
Umeshiba sasa au ujashibaLeo nahisi kama nimekutana na huo mchele wa plastic.
Ni chakula cha mgahawani.
Wali hauna tone la mafuta…
Wali unatafuna kama unatafuna plastic
Wali hauna ladha
Upo upo tu haueleweki
Nimeshindwa kumaliza 😔Umeshiba sasa au ujashiba
Pole xana bora kula matunda kama chakula hakielewekiNimeshindwa kumaliza 😔
Hata sijashiba
Ndo wenyewe huo hata uweke nazi 10 zinadunda husikii harufu wala radhaLeo nahisi kama nimekutana na huo mchele wa plastic.
Ni chakula cha mgahawani.
Wali hauna tone la mafuta…
Wali unatafuna kama unatafuna plastic
Wali hauna ladha
Upo upo tu haueleweki
Ni mbaya sana aisee. Kama huli waliNdo wenyewe huo hata uweke nazi 10 zinadunda husikii harufu wala radha