Uzi wa vyakula tu

Asante kwa ushauri mkuu ila mtindi ni kisindikiza mlo changu cha kila siku na hayo uliyoyasema hapo juu hayajawai kunipata.

Nikinywa mtindi kwny mlo wangu wa usiku inanisaidia sana mmeng'enyo wa chakula na inakata mafuta mwilini.
 
Ahahaa
 
Ahahaa
 
Kusteam kivipi??..embu nitoe ushamba.
Ni mchicha ambao umepikwa na kitunguu hoho na karoti nyingiii

Unapendeza ukila na mboga kama nyama rost chips kavu na ndizi za kupika.

Au wali maharage na mchicha huu wa kusteam.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…