Uzi wa vyakula tu

Uzi wa vyakula tu

Maziwa na nyama uliyouga nyanya havituhusiwi kiafya kwani maziwa yanatabia ya kuwa alkaline na nyama hiyo ni Acidic kitakochotokea tumboni ni mgando ambao utakufanya ulale masaa mengi kwasababu ya uchovu na kama unavidonda vya tumbo usipendelee kula hiyo menu
Asante kwa ushauri mkuu ila mtindi ni kisindikiza mlo changu cha kila siku na hayo uliyoyasema hapo juu hayajawai kunipata.

Nikinywa mtindi kwny mlo wangu wa usiku inanisaidia sana mmeng'enyo wa chakula na inakata mafuta mwilini.
 
Maziwa na nyama uliyouga nyanya havituhusiwi kiafya kwani maziwa yanatabia ya kuwa alkaline na nyama hiyo ni Acidic kitakochotokea tumboni ni mgando ambao utakufanya ulale masaa mengi kwasababu ya uchovu na kama unavidonda vya tumbo usipendelee kula hiyo menu
Ahahaa
 
Ugali + Dagaa mixture bamia na nyanya chungu.

Mchicha wa kusteam [emoji11][emoji11][emoji11][emoji7][emoji7][emoji7][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]
IMG_20180605_134126.jpg
 
Kusteam kivipi??..embu nitoe ushamba.
Ni mchicha ambao umepikwa na kitunguu hoho na karoti nyingiii

Unapendeza ukila na mboga kama nyama rost chips kavu na ndizi za kupika.

Au wali maharage na mchicha huu wa kusteam.
 
Back
Top Bottom