Living Pablo
JF-Expert Member
- May 17, 2020
- 3,549
- 10,995
[emoji39][emoji39]mijinyama ya kutosha apo ni mwendo wa tonge nyama tonge nyama.Chukua mboga hii broView attachment 2622856
Kila mtu achukue kamoja
Tuendelee tu mammy lolo haina kupunguza wala kuongeza😁
Chuzi la mbuzi
Mafuta mengi sana
Dsm Sangara ni 7500 Ubungo, 8500 maeneo mengineNimenunua vipande so nikamuambia akate hivyo kama nyama
Samaki mwanza ni bei tu hakuna bei ndogo aisee
Si shoppers hii?
YesSi shoppers hii?
Wana bakery nzuri sana
Dsm Sangara ni 7500 Ubungo, 8500 maeneo mengine
Kilo 1Size gani? Au kilo moja,?