Nilitoboa aiseeeHutoboi mzee nimekaa pale
Ajifunze abake tena?πJifunze na wewe siku moja moja ubake!
Shafika bi mkubwa lete ugali π
Unashindwaje kukaanga samaki?una deep fryer au karai lile wok. Au hata frying pan.Wakuu habarini za humu jukwaa la mapishi?
Naombeni msaada namna ya kukaanga samaki wabichi, Nimenunua samaki wabichi zaidi ya mara 3 lakin kila nikienda geto kuwakaanga nashindwa naishia kuwatupa.
Huwa nafanya hivi; Huwa nanunua wale samaki wakubwa kisha muuzaji ananikatia mfano vipande vitatu vikubwa na kuwatoa yale magamba na kuwaosha vizuri. Mimi nikifika home huwa naweka mafuta kwenye sufuria kisha nawaweka humo lkn huwa nikiwageuza nakuta wameshikana na sufuria then wanaparanganyika [emoji3] , yaani wanageuka bokoboko.
Je huwa nakosea wapi? Nishawahi pia kujaribu kupika mchemsho lkn yanakuwa ni yaleyale.. samaki wanaparanganyika na kuwa bokoboko.
Naombeni msaada wenu tafadhali.
Atakuwa anawakoroga koroga ndio maana wanakatika.Unashindwaje kukaanga samaki?una deep fryer au karai lile wok. Au hata frying pan.
Piga moto mafuta kutosha dumbukiza humo.
Another tip unaweza kuweka unga wa ngano tu juu juu dumbukiza humo mafutani uone km atavunjika.
Ajifunze abake tena?π
Same recipe, kitunguu ,karanga nazi, kitunguu saumu ukitaka,Hebu wekeni maelekezo ya mapishi ya majani ya maboga na kisamvu
Unajua tena Depal tunapunguza stress tu JFπ π πAtakuwa anawakoroga koroga ndio maana wanakatika.
Babu kuna comment nilikuta umecomment sehemu nilicheka balaa πππ
Na siwezi ikwoti hapa maana tunaweza lamba π§±
AsanteSame recipe, kitunguu ,karanga nazi, kitunguu saumu ukitaka,
chumvi.
Mboga zangu pendwa.
Umechemsha kwenye jiko la mkaa?