Uzi wa vyakula tu

Uzi wa vyakula tu

IMG_20230531_101449_698.jpg
 
Wakuu habarini za humu jukwaa la mapishi?

Naombeni msaada namna ya kukaanga samaki wabichi, Nimenunua samaki wabichi zaidi ya mara 3 lakin kila nikienda geto kuwakaanga nashindwa naishia kuwatupa.

Huwa nafanya hivi; Huwa nanunua wale samaki wakubwa kisha muuzaji ananikatia mfano vipande vitatu vikubwa na kuwatoa yale magamba na kuwaosha vizuri. Mimi nikifika home huwa naweka mafuta kwenye sufuria kisha nawaweka humo lkn huwa nikiwageuza nakuta wameshikana na sufuria then wanaparanganyika [emoji3] , yaani wanageuka bokoboko.

Je huwa nakosea wapi? Nishawahi pia kujaribu kupika mchemsho lkn yanakuwa ni yaleyale.. samaki wanaparanganyika na kuwa bokoboko.

Naombeni msaada wenu tafadhali.
Unashindwaje kukaanga samaki?una deep fryer au karai lile wok. Au hata frying pan.
Piga moto mafuta kutosha dumbukiza humo.
Another tip unaweza kuweka unga wa ngano tu juu juu dumbukiza humo mafutani uone km atavunjika.
 
Atakuwa anawakoroga koroga ndio maana wanakatika.

Babu kuna comment nilikuta umecomment sehemu nilicheka balaa 😂😂😂
Na siwezi ikwoti hapa maana tunaweza lamba 🧱
 
Back
Top Bottom