Uzi wa vyakula tu

[emoji28][emoji28]kweli na mboga yake yaani wao ni kama pimbi na kingwendu, Aki na Ukwa,Kulwa na Doto,Otimbi na Timbilio,diamond na wasafi kifupi wanamatch sana
Pembe na Senga, Samia na Ikulu, Apeche na Alolo [emoji846]
 
Juzi nimekula kilo mbili hapa nnampango nikanunue tena kilo ni tamu balaaa sijui wanaweka nini
Si tulikua mtu 3 tukuyu hapo, ikawa choma lete kaanga lete,choma lete tunashushia na Bapa.
Tulimla mdudu sijui kilo ngapi mpk tukasahau tunaenda wapi kwa kuvimbiwa😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…