Diet? Kwani una kilo ngapi na height yko vipi? 😟Imagine sijamaliza hata .. nipo kwenye Diet[emoji28][emoji28]
hii kitu acha halaf uporo uwe nazi harage naz wali nazi chai ya rangi imekolea viungo na sukari unauvulia shat ukilaWapenda wali maharage gonga like hapa.
Hakuna mpinzani hapo,ongeza chai tu.Wapenda wali maharage gonga like hapa.
Ndio mana umekua bonge
acha nile maisha nakua mwembamba ya niniNdio mana umekua bonge
poker we wakishua
Hyo mboga ya karanga imenikuza huko upareni
Hii inaitwa bando limeisha kubandeki😁
Mbona simuoni samaki my dear Saint AnneMchemsho wa samakiView attachment 2743977
Yupo ndani amezama[emoji23][emoji23][emoji23]Mbona simuoni samaki my dear Saint Anne
Katakuwa kaperege hako ndio kanamtindo huo. 😂Yupo ndani amezama[emoji23][emoji23][emoji23]
Atapqatikana mchuzi ukipungua
Ndio maana hutaki kurudi kwenu😂