Uzi wa vyakula tu

Uzi wa vyakula tu

IMG_1783.jpg
 
Jifunze hili...
Kama una friji kuwa makini na vitu vyako unaweka humo kiafya.. Usije ukawa unakula makapi kila siku..
.

KUKU [emoji215] hukaa siku 1 mpaka 2 tu
Nyama [emoji3052] hukaa siku 3mpaka5 tu
Yogurt [emoji479] hukaa week 2 tu
Cheese [emoji893] hukaa week3mpaka4
Maziwa [emoji1636] hukaa week 1.
Mayai [emoji1639] hukaa week 3 mpaka 5,
Mboga mboga [emoji3049] ni week 2
Ndimu, limao [emoji522] week 1 mpaka 3..
.
FB_IMG_1694217225052.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom