Uzi wa vyakula tu

baada ya mama ntilie kupandisha bei ya wali kutoka 1500 mpaka 2000.nikasema acha ninunue jiko nianze kupika mwenyewe.bwana wee kinachonikuta ni zaid ya majanga.nikiweka maji meng yanatoka madida.niseme nipunguze wali unatoka mbichi.nikiweka chumvi inazid nikisema nipunguze yaan inapungua kabisa kama sijaweka.heshima kwa wapishi
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🔥🔥
 
🤣🤣🤣 pole
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…