Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aisee hii ndiyo menyu Bora ya miaka hamsini ijayo. Hakuna mwanaume ambaue haifurahii hii menyu Tena hapo ukiongezea na vinyanya chungu kadhaa yaani daah... Pilau biriyani tuupa kulee.
Hapo ungeongezea na choroko kaka
😂Hii umeme ikiwa umekatika unaweza ukala
Hio combo sio kitoto [emoji91]Aisee hii ndiyo menyu Bora ya miaka hamsini ijayo. Hakuna mwanaume ambaue haifurahii hii menyu Tena hapo ukiongezea na vinyanya chungu kadhaa yaani daah... Pilau biriyani tuupa kulee.
Nimetoka kuitandika mchana wa Leo kama hii na hapo nimeifuliliza toka j3 na hainichoshi. Na kesho naigonga tena.
Uzuri naitoaga mwenyewe home. Kwa wakazi wa Mbeya hapo unaitia na parachichi Moja kubwa sana pembeni baada ya kama lisaa limoja hivi ni mzinga wa konyagi murua kabisa.
Ebwana kwanza kula tano hapo Kwa hiyo menyu yetu pendwa isiyo na gharama ila utamu wake una gharama kubwa sana pindi unapolimeza lile tonge lililosheheni hayo makitu mzee...
[emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 2801604
Eti biriyani kuku ni tamu? Acheni utani basiii...
Kabisa aisee [emoji39][emoji39][emoji39]View attachment 2801604
Eti biriyani kuku ni tamu? Acheni utani basiii...