Dejane
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 50,587
- 71,492
Ni pressure cooker inapika maharage,nyama,cake,makande,kukaanga hivyo yaanTutoeni ushamba
Tuambieni ni nini kwanza hicho[emoji23][emoji23][emoji23]
Kinatumika kufanya nini
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni pressure cooker inapika maharage,nyama,cake,makande,kukaanga hivyo yaanTutoeni ushamba
Tuambieni ni nini kwanza hicho[emoji23][emoji23][emoji23]
Kinatumika kufanya nini
Ni pressure cooker inapika maharage,nyama,cake,makande,kukaanga hivyo yaan
Muda inajisetNielekeze basi kuna ile sehemu ya rich sijui nin ,hivi muda unajiset automatic?
Muda unaset au inajiset automatic ?maharage dakika 35 je nyama na vingine?Ni multicooker
Inapika wali.. kwenye wali waweza pika na pilau
Maharage na ndugu zake
Nyama na mishemsho yote
Kuna siku gas ikakata shwaa
Nikapikiamo ugali
Hapo sawa kuna ile button ya taste juu kuna Rich ,sijui ninMuda inajiset
Kulingana na batani uliyochagua
Rich ni wapi hapo tena
Mpk nione sasa sipo nyumbani
Kama wapika wapi unapress batan yake, dk inajiweka yenyewe
Nyama ina sehemu yakeMuda unaset au inajiset automatic ?maharage dakika 35 je nyama na vingine?
Mabatani mengine sijawah yafikia nadhani mpk nilione ndo nakumbukaHapo sawa kuna ile button ya taste juu kuna Rich ,sijui nin
Oh kumbeNi multicooker/ pressure cooker
Inapika wali.. kwenye wali waweza pika na pilau
Maharage na ndugu zake
Nyama na mishemsho yote
Kuna siku gas ikakata shwaa
Nikapikiamo ugali
Hadi keki?Ni pressure cooker inapika maharage,nyama,cake,makande,kukaanga hivyo yaan
😂😂😂😂 mi nimenunua sababu ya maharahe nimechoka mkaa jamenOh kumbe
Maana tunaona mjadala unaendelea tu hatuelewi[emoji23][emoji23]
Hatari sana
Hiyo nzuri kwa maisha ya ghetto.
Ahaaaa sawa sawaa
nikimaliza kula nakunywa malimao [emoji1][emoji1]
Nikukute kule na ur new look ya after likizo.
Aisee😂😂😂😂 mi nimenunua sababu ya maharahe nimechoka mkaa jamen
Kiukweli inakera sana ayafute hayo mapicha banaMkuu Mshana tukumbushane hapa,
"Huu uzi wa vyakula tu"
Ww umeuanzisha.
Tokea mwanzo ukaweka panya kwenye mkate nikakosoa,
Kuna wengine wakaweka mende na wadudu wa ajabu nikakosoa,
Sasa tena umeanza kuweka wanyama wa ajabu miguu ya kenge ,mijusi, mnakula kwenu huko?
Panyabuku?Mamba,Nyau pori,
Nyoka
Uliona wapi mtanzania anakula hao wadudu?
Mbona vyakula vingi tu vipo vya kawaida tu.
Uzi umeanzisha mwenyewe unaharibu mwenyewe,
Hapa watu tunakuja na njaa zetu kuja kula,
Hayo matakataka huwa unaweka yaani unatukata stimu kabisa.
Ujinga gani huu unafanya?
Weka hata makande pls,
Sasa njaa yangu yote imekata kwaajili ya wewe umeweka picha mchuzi limguu la mnyama gani sijui,
Inatia kichefuchefu.
Hapa Chakula nashindwa kula tena,upuuzi gani huu.
Mkaa unachosha sanaAisee
Mm maharage kupika kwenye umeme siwezi🤣🤣🤣
Nitauonea huruma.
Maharage linapika kilo ngapi? Na maji naweka mara ngapi?
MnoMkaa unachosha sana
Jamaniii, nimemis hii kitu..!
NB: hivi Marula skin oil na Originals yapi una recomend zaidi?