Uzi wa vyakula tu

Kumbe unaweza kuchanganya dona kwenye keki na ikatoka vizuri??
Ratio yake ( unga) inakuwaje kwa keki ya kilo 1???
Hiyo cake nilitakiwa niweke unga 150g
Ila ulipelea , ulikuwa 113g

Kwahiyo hizo gram zilizopelea nikaongezea Dona..inatoka tu vizuri ila haiwi tamu kihivyoo.

Unga Sembe/dona kwenye keki ni optional ; waweza kuweka ama usiweke.
1kg cake, 🌽 cornflour weka 5- 10g.
Inaongeza mchambuko wa cake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…