Uzi wa vyakula tu

Kubwa kabisa inapiga kilo ngapi za wali? Dessine yako ulinunua sh ngapi na wapi?
Dah.. sijawahi jua aisee
Me napikaga robo robo tu 😁
Ila la lita 6 nadhani ni mpk 2.5-3kg
Na kuna makubwa ya lita 8

Nilinunua huku Arusha, 180k nadhani.. ila huko Dar inaweza pungua.
 
Dah.. sijawahi jua aisee
Me napikaga robo robo tu 😁
Ila la lita 6 nadhani ni mpk 2.5-3kg
Na kuna makubwa ya lita 8

Nilinunua huku Arusha, 180k nadhani.. ila huko Dar inaweza pungua.
180k ilikuwa la lita ngapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…