makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 31,583
- 92,670
Hii kiasi gani?Maneno ya Lidl.....SilverCrest
Hiyo pia ni nzuri na bei pia ni rafiki
Lakini kama una mkono mrefu unaweza nunua brand ya Ninja...ambayo kwa sasa ndio habari ya mjini
View attachment 2803480
View attachment 2803482