Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamani usiniseme Anne!🥴Siku hizi unakula sana😂😂😂
Mbona wali mwingi hivyo?🤣
Baada ya kumaliza mfungo ilibidi niongeze portion kidogo ,kufidia kilo Ilizopotea..Mweh! Kweli umekimbia Chama. 🙌
Oh, sawa. I'll be here witnessing all of it.Baada ya kumaliza mfungo ilibidi niongeze portion kidogo ,kufidia kilo Ilizopotea..
Nikishazifidia narudi kulekule.
udongo huo ni wa nini st anne🥳
Kwenye mkaa cake huwa hatubandiki sufuria la kuokea direct kwenye moto...ukikalisha direct kwenye moto basi keki zako zote zinaweza kuungua kabla hata hazijaiva.udongo huo ni wa nini st anne
Mpishi wa mchuzi kazingua! Nitumie hizo chenji hapo nikupikie mboga nyingine.😀
Kweli kazingua sijakimaliza mafuta mengi.Mpishi wa mchuzi kazingua! Nitumie hizo chenji hapo nikupikie mboga nyingine.😀
Mwezi uliopita nilikuwa maeneo fulani Tabata.Hizi ngunyani zimenistua nikajua zangu.
Uko Mbeya?
Tabata kuna nguniyani?Mwezi uliopita nilikuwa maeneo fulani Tabata.
Aisee,nahitaji km kilo 3 -5 hivi, mtu atafuataMama mmoja ananitaniaga na kuniita mume alinialika kwake nikale nikafikiri ni ksamvu Kimberly ndiyo inaitwa nguniyani.Ndiyo kwanza nasikia hilo neno kwa mara ya kwanza.