Uzi wa vyakula tu

udongo huo ni wa nini st anne
Kwenye mkaa cake huwa hatubandiki sufuria la kuokea direct kwenye moto...ukikalisha direct kwenye moto basi keki zako zote zinaweza kuungua kabla hata hazijaiva.


Unatakiwa uweke kwanza sufuria kubwa lenye mchanga ndani yake,au majivu,au mafiga... ndipo ukalishe sasa sufuria za kuokea.

Huo mchanga unaact kama oven,tunapasha kwanza moto na juu tunaufunika,,jnapokuja kukalisha sufuria za keki humo ndani kinakuwa na joto la kutosha kuivisha keki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…