mshamba_hachekwi nini? Mbona reaction za 😮? Siipendi hiyo emojyah. Opposite na pepsi ilipo sheli
Bado tu McDonald's, subway na burger king tuwe kama dar🤣Oyaah. mshamba_hachekwi wametuletea KFC 🤣🤣🤣 hapo clock tower pembeni ya michelin tyres
Hiyo sehemu napitaga sana ndo maana nashangaamshamba_hachekwi nini? Mbona reaction za 😮? Siipendi hiyo emoj
Hatuwezi kuwa km Dar. Na Dar kamwe hawawezi kuwa kama sisi 🤣Bado tu McDonald's, subway na burger king tuwe kama dar🤣
Kijiwe ni kipya. Nadhan cha mwisho mwishoni mwa 2023Hiyo sehemu napitaga sana ndo maana nashangaa
Tulia barbershop ya Town si unaipata? Na wao wamefungua Njiro. Iko pembeni ya hako ka food pointHiyo sehemu napitaga sana ndo maana nashangaa
Ulete picha hapa ya vyuku vya kizungu😋Hatuwezi kuwa km Dar. Na Dar kamwe hawawezi kuwa kama sisi 🤣
Wao wanatoka KFC wanaenda kugombania mwendo kasi. Huku unatoka KFC unakuta kondakta anakusubiri