Uzi wa vyakula tu

Uzi wa vyakula tu

20240511_205851.jpg


20240511_205857.jpg


Kiazi kinachemshwa kwa ajili ya kusagwa mahsusi kama mashed potato.

20240511_205915.jpg



Maandalizi...
20240511_211301.jpg
 
20240512_034343.jpg


Oven baked Salmon and fried veggies 😋👌😍.

Karibuni mlo wa usiku umesheheni...😋😋😋

Kusema zaukweli nilivimbewa....😅😅🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️

Maana sikubakisha hata kipande.
 
View attachment 2988513

Oven baked Salmon and fried veggies 😋👌😍.

Karibuni mlo wa usiku umesheheni...😋😋😋

Kusema zaukweli nilivimbewa....😅😅🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️

Maana sikubakisha hata kipande.
Dada yangu nikija kwako ukantengea hicho najua umeleta matunda bado unapika 🤣🤣🤣
 
Dada yangu nikija kwako ukantengea hicho najua umeleta matunda bado unapika 🤣🤣🤣


Aahahahahaa alooh.....

Msukuma bana, bila ugali hujala chakula atii...🤣🤣🤣.

Je nikikupikia mihogo na nyama na kachumberi...

Mihogo nakaanga au kuchemsha, nyama naioka kwenye oven au naichemsha kisha kuiunga na mbogamboga na kachumberi pembeni...😋😋

Ama laah usubirie ugali wa dona na Sato wa kuunga na nazi aka sontojo...😋😋😋.

Ila hizo mbogamboga ni nyingi kwenye hiyo sahani, labda ningekuongezea samaki ungeshiba 😅😅.
 
Back
Top Bottom