Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi Salmon anaitwaje kwa Kiswahili?View attachment 2988513
Oven baked Salmon and fried veggies 😋👌😍.
Karibuni mlo wa usiku umesheheni...😋😋😋
Kusema zaukweli nilivimbewa....😅😅🏃♀️🏃♀️🏃♀️🏃♀️
Maana sikubakisha hata kipande.
Dada yangu nikija kwako ukantengea hicho najua umeleta matunda bado unapika 🤣🤣🤣View attachment 2988513
Oven baked Salmon and fried veggies 😋👌😍.
Karibuni mlo wa usiku umesheheni...😋😋😋
Kusema zaukweli nilivimbewa....😅😅🏃♀️🏃♀️🏃♀️🏃♀️
Maana sikubakisha hata kipande.
Hivi Salmon anaitwaje kwa Kiswahili?
Dada yangu nikija kwako ukantengea hicho najua umeleta matunda bado unapika 🤣🤣🤣
Hizo mashed potato huwa napenda kula na nyama ya kusagaAm thinking about making mashed potato na mbogamboga za kukaanga na yai for lunch...
Nikifanikiwa ntaweka mrejesho hapa 😍.
Style hii shule tulikua tunaita 'Kufinya kitenesi', umetisha mkuu
Hizo mashed potato huwa napenda kula na nyama ya kusaga