Uzi wa vyakula tu



Oven baked Salmon and fried veggies πŸ˜‹πŸ‘ŒπŸ˜.

Karibuni mlo wa usiku umesheheni...πŸ˜‹πŸ˜‹πŸ˜‹

Kusema zaukweli nilivimbewa....πŸ˜…πŸ˜…πŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈ

Maana sikubakisha hata kipande.
 
Hivi Salmon anaitwaje kwa Kiswahili?
 
Dada yangu nikija kwako ukantengea hicho najua umeleta matunda bado unapika 🀣🀣🀣
 
Dada yangu nikija kwako ukantengea hicho najua umeleta matunda bado unapika 🀣🀣🀣


Aahahahahaa alooh.....

Msukuma bana, bila ugali hujala chakula atii...🀣🀣🀣.

Je nikikupikia mihogo na nyama na kachumberi...

Mihogo nakaanga au kuchemsha, nyama naioka kwenye oven au naichemsha kisha kuiunga na mbogamboga na kachumberi pembeni...πŸ˜‹πŸ˜‹

Ama laah usubirie ugali wa dona na Sato wa kuunga na nazi aka sontojo...πŸ˜‹πŸ˜‹πŸ˜‹.

Ila hizo mbogamboga ni nyingi kwenye hiyo sahani, labda ningekuongezea samaki ungeshiba πŸ˜…πŸ˜….
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…